Bismillah Al-Rehman Al-Rehman
Anti Ahmadiyya Movement in Islam

ALFATWA YA KIMATAIFA NA. 2

MWASISI NA MHARIRI MKUU SYED ABDUL HAFEEZ SHAH
MHARIRI:SYED RASHID ALI

JIHADHARI NA UFISADI WA JUMUIA YA AHMADIYYA DHIDI YA UISLAM



SHEREHE ZA UZINDUZI ZA
JUMUIA YA AHMADIYYA
MIAKA100 YA UONGO USIO
NAIBU 1894-1994


2 katika 1???


MWENYE UNAFIKI DAN KWIZOTI WA QADIAN
“Mimi ni Adam,
Mimi ni Nuhu,
Mimi ni Ibrahim,
Mimi ni Is’haka,
Mimi ni Yakubu,
Mimi ni Ismail,
Mimi ni Musa,
Mimi ni Issa mwana wa Mariam
Mimi ni Muhammad”
(Roohani Khazain Vol 22 pg. 321)



Bismillahir Rahmanir Rahiym

Msomaji Mpendwa,

Tafsiri ya kwanza ya Alfatwa ya kiurdu iko mikononi mwenu.

Ukadiani au Uhmadiyya leo una sura ya tishio kubwa la vurugu katika ulimwengu wa kiislam. Makadiani Unajifanya bingwa wa Uislam, lakini hakika yake ni uwapotosha waislam na unawaelekeza Jahanam. Mirza Ghulam Ahmad na wafuasi wake wametengwa kuwa ni WAASI MAKAFIRI, WALIO NJE YA UISLAM.

Hili ni Azimio la wanazuoni wote wa kiislam na umma wote. Lakini wanasekula wa Kiislam na watu wasio waislam wanadhania msimamo wetu kuwa ni wenye makosa kwa ajili ya ujinga wa kutokuwa na uvumilivu wa kidini.Wameshindwa kujua kuwa licha ya tofauti za kiitikadi kundi hili linatumiwa na wapinzani wa Uislam wakiwafanya washiriki wao katika kuendeleza maslahi yao ya kisiasa na ya kiuchumi kote katika ulimwengu wa Kiislam. Tishio jipya liko katika nafasi inayochukuliwa na viongozi wa jumuia ya Ahmadiyya katika mazingira ya siasa za kimataifa wakitoa huduma za kichinichini kwa mataifa yenye upinzani wa Uislam Ujasusi ni biashara yenye kuleta faida kubwa na inakuwa nyepesi na slama inapofanywa chini ya kisingizio cha vituo vya kimisionari na viongozi wake huchaguliwa kutokana na watu wa mahali mahsusi!

Madhumuni ya kuanzisha kijarida hichi ni kuingiza katika ufahamu wa wasomaji kufahamu tabia halisi ya Mirza Ghulam Ahmed wa Qadiani mwanzilishi wa jumuia ya waamadiya katika Uislam huyo ajiitaye masihi aliyeahidiwa na mahali na kuudhihirisha uso mchafu na vurugu la kiucha Mungu la jumuia hii katika jina la Uislam. Mirza Ghulam Ahmad Qadiani alikuwa anapenda sana kutoa matangazo katika magazeti alikuwa akitumia nyenzo hizi kutangaza mawazo yake ya uzushi,kutangaza vitabu vyake, kutangaza utabiri wake na kuwakemea wapinzani wake, wakuwatishia mapatilizo na adhabu za kiMungu kama ilivyofunuliwa kwake na aliiita /wahyianilham.

 
Aliwatukana wapinzani wake katika hali ambayo ilibidi mahakama ya sharia imchukulie hatua.

MKATABA WA FEDHEHA

“Mimi Mirza Ghulam Ahmad Kadiani naapa kwa Mungu kwamba wakati ujao”:-
  • Nitaepukana na kutangaza habari za utume kama vile kuelezea habari za aibu ataipata mtu yeyote wenye msimamo wake wa Kiislam, Kihindu au Kikristo na jinsi atakavyopokea adhabu kali uimizayo ya Kimungu.
  • Nitaepukana pia na kumtaka Mungu kuwa amwaibishe mtu yeyote kwa kumtabiria adhabu na kuonyesha mtu ambaye ni mkweli na mtu huyo ni mwongo au mkweli katika malumbano ya kidini.
  • Nitaepukana pia na kuhubiri jambo lolote lile na kusingizia kuwa ni ufunuo uonyeshao utabiri kwa mtu ambaye atafedheheshwa au kupata adhabu.
  • Kwa hali ambayo iko kwenye uwezo wangu nitawataka wale wote walio chini ya utii wangu kufuata njia hiyo ambayo niliyoahidi kuifuata kama ilivyoelezwa hapo juu.
Ilisainiwa na: Mirza Ghulam Ahmad
Shahidi: Khawaja Kamaluddin (B.A Lib)
Ilisainiwa na: J. M. Dowie Hakimu wa Wilaya, Gurdaspur
Tarehe 24 Februari, 1899.
PS:
Mirza na wafuasi wake wameendelea kurudia kuvunja ahadi hii mara nyingi. Mapema katika mwaka 1989 Mirza Tahir alitoa changamoto na Mubahila kwa Umma wote wa Kiislam wakiwapakazia kuwa wao ni waongo, wasioaminika na akiwalaani kwa adhabu ya Kimungu na kwa hilo kuthibitisha kuwa wao wenyewe hawana imani kwa wanayemwita mtume. Ni aina gani ya Masihi/Mjumbe/ Mtume huyo ambaye mwenye ahadi zisizokuwa na maafikiano na kazi zake!!. Ni aina gani ya muislam (licha ya hadhi yake ya kiuchamungu) ambaye hathamini ahadi zake yeye mwenyewe!!.
AMRI ZA KIDINI:
Fatawa ya Alamgiri.
“Kama mtu haamini kuwa Hazrat Muhammad ni Mtume wa mwisho au asemaye katika Kiajemi kuwa “mimi ni Mtume”, na kuwa analeta ujumbe, hata hivyo atakuwa kafiri”. (Fatawa ya India makala ya 3 uk 263).
Qazi Ayadh katika As Shifa:
“Mtu yeyote asemaye kuwa mtu anaweza kudai kuwa ni Mtume pamoja au baada ya utume Mukufu au anadai utume yeye mwenyewe au anafikiri kwamba kaupata utume ni vyepesi na iliruhusiwa au anafikiri kuwa mtu yeyote anaweza kufikia hadhi ya utume kwa utakaso wa moyo. Hivyo hivyo wa mtu ambaye hudai kwamba hupata Ufunuo, Utume, hata kama wazi wazi hadai Utume, WATU WOTE HAO NI MAKAFIRI kwa sababu hamwamini mtu kweli. Kwani ametuambia kuwa YEYE ni mtume wa mwisho, na kwamba hapatakuwa na Mtume na kwamba YEYE ameletwa kwa wanadamu wote. Umma wote una ungan katika msimamo huu. Kutokana na Qurani Takatifu, Suna na Jamaa, KUFURU za watu hao (Manabii wa Uongo) ni kamili."
“ Mtu yeyote ambaye yupo kinyume na makubaliano ya (Jamaa) madai ya kufuru ya Unabii wa uongo, ni kafiri pia”
Ahmed Raza Khan:
  • “Makadeani ni waasi na ni wanafiki. Mnafiki na mwasi ni mtu ambaye huisoma kalima na anaamini kuwa yeye ni Muislam, na kisha hukufuru kwa maneno ya kumtukana, Mtume au mafundisho yoyote ya dini”.
  • Swala zozote nyuma ya Imamu wa Kikadiani ni batili.
  • Imekatazwa kutoa zaka kumpa Kadiani.
  • Makadiani ni waasi wa dini, wanyama waliochinjwa nao ni haramu moja kwa moja.
  • Kama waislam watawatenga kijamii juu ya Makadiani na kama mtu akaona kuwa wanadhulumiwa kwa kitendo hicho cha kuwatenga ni udhalimu yuko nje ya jamii ya kiislam pia.
(Ahkam Sheriat Vol.  I pg 112 128, 139,177)
Azimio la Rabitat Alama Al Islami:
Katika mwaka 1974 wanazuoniwa kidini kutoka nchi 144 za Kiislam walikutana Maka na kupitisha Azimio la pamoja kwa kutangaza kuwa Kadiani/Ahmadiyya ni makafiri kuwafukuza kabisa kutoka Umma wa Kiislam. (Azimio la Rabital Alama Islami 1394AH)
Azimio la Bongela la Pakistani:
Serikali ya Pakistani ilikuwa ya mwanzo katika nchi za Kiislam. Tarehe 7 September, 1974 baada ya mashauriano kwa muda wa miezi 6 na kuwapa uongozi wa Makadiani uhuru wa kusema kwenye Bunge na kutetea maslahi yao hatimaye Bunge, Taifa la Jamhuri ya Kiislam ya Pakistan lilitangaza kuwa Kadiani / Ahmaddiya Lahori ni Jumuiya ndogo ya jamii ya watu ambao si waislam katika Pakistan Katiba yake ikarekebishwa na kusomwa “mtu yeyote ambaye haamini umwisho na ukamilifu wa utume wa Mtume Muhammad au kudai kuwa yeye ni mtume. Kwa maana yoyote ile au kwa maelezo yoyote yale baada ya Mtume Muhammad au akamtambua mwenye kudai hivyo, si mwisho kwa mujibu wa Katiba hii au sheria hii.
Hukumu za Mirza Kadiani:
Baada ya kuona msimamo wa Uislam juu ya suala la Qadiani kuona hebu tuone jinsi Mirza Ghulam alivyosimama katika mwanga wa maandishi yake mwenyewe. Kwanza amejiwekea kipimo maalum akisema:
  • “Taurati na Quran zimeteua Mitume kuwa ushahidi mkubwa wa utume” (Roohani Khazain Sura ya 12 ukurasa wa 111).
  • "Kuamua juu ya ukweli au uongo wangu, hakuna jaribio zuri zaidi kuliko ufunuo wangu” (Roohani Khazain sura ya 5 ukurasa wa 288).
  • "Si ukweli kwamba ufunuo wa Mitume umecheleweshwa” (Roohani Khazain sura ya 19 ukurasa wa 5).
  • “Kugundulika kuwa ni mwongo katika ufunuo wake mwenyewe ni aibu kubwa kuliko zote. (Roohani Khazain sura ya 15 ukurasa wa 382).
  • Ndugu msomaji, katika vigezo vilivyotajwa juu, hebu tuchunguze juu ya Utume wake katikahali tatu huyu Mirza Ghulam:-
    1. 'BIKRA WA THAYEB': Ubikra ni madhumuni ya Mungu kwamba ataleta mabinti wawili kwenye mlango wangu. Mmoja atakuwa Bikra na mwingine Mjane. Kwa hiyo ufunuo huu unaohusiana na ubikra, umetimizwa na kwa bahati kwa uwezo wa Mungu, nina watoto wa kiume wanne kutokana na mke huyu. Bado naendelea kusubiri kutimizwa kwa ufunuo unaomhusu mjane. (Roohani Khazain sura ya 15 ukurasa wa 201).
    2. KUFUNGA NDOA NA BIBI MUHAMADI: Hapo mwanzo Mirza Sab alitaka kumwoa msichana kutokana na ufunuo Mtakatifu” lakini yeye an baba yake walikataa na kuandaa kuolewa na mtu mwingine. Kwa hiyo Mirza Sab alipokea ufunuo mwingine wa “kuvuruga ya kwamba binti ataolewa naye atake asitake. Alisema: katika utume wangu, si jambo moja tu bali kuna mipangilio sita.
        • Nitakuwa hai hadi muda wa kumwoa binti.
        • Mpaka muda wa kumwoa binti, baba yake atakuwa bado yuko hai.
        • Baada ya kuoana, kifo cha baba yake kitatokea katika miaka mitatu.
        • Kifo cha mume wake kitatokea kati ya miaka miwili na nusu.
        • Mpaka nimwoe binti huyu, msichana huyo atabaki hai na mwisho kwamba.
        • Baada ya kuwa mjane pamoja na upinzani wote na atakuja kwenye ndoa yangu (Roohani Khazain sura ya 5 ukurasa wa 325).
    3. 3.”NITAFIA MAKKAH AU MADINA” (Al Bushra sura ya 2 ukurasa wa 105).
    Inawezekana Kadiani Ahamadiyya yeyote kunieleza kwa uaminifu nani alikuwa MJANE GANI ambaye aliolewa na MIRZA CHULAM? Je Bibi Muhammad aliolewa na Mirza kabla ya kifo chake? wote mume na mke baada ya miaka 35 wameendelea kuwa hai baada ya kifo cha Mirza.

    Ulimwengu wote unajua kuwa Mirza Ghulam alikufa kutokana na kipindupindu chooni huko LAHORE ambayo ni umbali wa maili 5000 kutoka mahali alipofia.

    UKADIANI
    • “Maneno ya Mungu yalinijia mimi kwa wingi na yangekusanywa yangejaa vitabu 20!! (Roohani Khaizain sura ya 22 ukurasa wa 407)
    • “Mirza wewe unatoka kwangu kama kijana wangu” (Tadhkirah p.142)
    • Msingi wa madai yangu si hadithi za Mtume ila ni Qurani na ufunuo ulionijia. Katika kutoa uzito tunaleta zile hadithi zinazokubaliana na quran na ambazo si kinyume na ufunuo wangu.  A HADITHI NYINGINE HUWA TUNAZITUPA KAMA KARATASI CHAFU!! (Roohani Rhazain sura ya 19 ukurasa wa 140)
    •  Mtume mtukufu hakuelewa maana halisi ya Sura Al–Zilzal (Roohani Rhazain sura ya 3 ukurasa wa 160)
    • “Maana halisi ya Qorani ilifunuliwa kwangu!! (Roohani Rhazain sura ya 17 ukurasa wa 454).
    MSOMAJI YUKO HURU KUTOA UAMUZI WAKE YEYE MWENYEWE JUU YA HADHI YA MIRIZA GHULAM AHMAD. NITAWAOMBA MAKADIANI AHMADIYYA WOTE KUTAFAKARI KATIKA DONDOO HIZI IMANI YETU INA THAMANI SANA KATIKA MAISHA YETU. TUSIKUBALI IHARIBIKE BURE TUMWOMBE ALLAH AWAPE HIDAYA MAKADIANI /AHMADIYYA WOTE WASILIMU UPYA AMINA.

    Tutaendelea kuweka wazi mbinu ovu za jumuia ya Ahmadiya dhidi ya Uislam. InshaAllah.

    HARAKATI ZA UISLAM AU VURUGU LA UCHAMUNGU?
    Ili kupata maandishi bure tafadhali andika au piga simu:-

    ANTI AHMADIYYA MOVEMENT IN ISLAM

    Dr. Syed Rashid Ali
    P.O. Box 11560
    Dibba Al Fujairah
    U. A. E.
    Fax: 97192442846

    Homepage
    Other Swahili Documents
    Email: webmaster@alhafeez.org